BREAKING NEWS:BALOZI JUMA MWAPACHU
Na Paschal D.Lucas
TANZIA: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kada wa CCM, Balozi Juma Mwapachu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi katika mitandao ya kijamii.

Comments
Post a Comment