BREAKING NEWS: MKURUGENZI WA TANESCO AFARIKI BUNDA KWA AJALI


 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea wilayani  Bunda Mkoa wa Mara.


Meneja wa TANESCO Mkoa wa Mara, Nickson Babu amethibitisha taarifa hizo ambapo amesema Nyamo-Hanga amefariki dunia pamoja na dereva wake.


Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda. 

Comments

Popular posts from this blog

MIAKA 30 JELA NGUNO WA KWIMBA KWA KUMBAKA KIZIWI

TANZANIA YAISHUKURU ITALIA KUHUSU SGR