Breaking News: Blog ya Paschal D.Lucas (Informer) Iko hewani kuanzia sasa.
Baada ya kipindi cha miaka mitano kutokuwa hewani kwa ukurasa wa habari wa Paschal D.Lucas, Habari njema kuanzia sasa imerudi hewani.
Karibuni kuweza kupata taarifa mbalimbali zote zikiwemo za Siasa, Dini, Burudani na Michezo kutoka ndani na nje ya nchi.
Habari kuhusu Jamii na Mafunzo pia kupitia teknolojia mbalimbali na kazi zinazofanyika katika jamii kwa ujumla.
Pia kwa Upande wa Mitandao yote ya kijamii ( Facebook, Instagram, X zamani Twitter,Thread) tunapatika kwa jina hilo hilo la Paschal D Lucas.
Kwa upande wa Online Tv kwa maana ya Youtube tunaoatikana kwa jina la DLucasDigital.
Karibuni sana sana!

Comments
Post a Comment